Ufafanuzi wa fufuwele katika Kiswahili

fufuwele

nominoPlural fufuwele

  • 1

    jiwe jororo na jepesi la baharini kama mawe ya chokaa.

    tumbawe, chawe, bawe

Matamshi

fufuwele

/fufuwɛlɛ/