Ufafanuzi wa fuia katika Kiswahili

fuia

kitenzi sielekezi~ika, ~isha

  • 1

    pungua, malizika au isha kwa nguvu za kitu k.v. kasi au chaji.

    ‘Sime imefuia’

Matamshi

fuia

/fuIja/