Ufafanuzi wa fuja katika Kiswahili

fuja

kitenzi elekezi

  • 1

    haribu mali au chakula au nguo; tumia vibaya.

    ‘Fuja mali’
    hiliki, poteza, angamiza, badhiri, haribu, soza

Matamshi

fuja

/fuʄa/