Ufafanuzi wa Fukiza nyungu katika Kiswahili

Fukiza nyungu

msemo

  • 1

    fanya matibabu ya mgonjwa kwa mafusho yaliyochemshwa katika kikaango au jungu.