Ufafanuzi msingi wa fuko katika Kiswahili

: fuko1fuko2fuko3fuko4

fuko1

nominoPlural mafuko

 • 1

  mnyama kama panya mwenye macho madogo anayeishi shimoni.

Ufafanuzi msingi wa fuko katika Kiswahili

: fuko1fuko2fuko3fuko4

fuko2

nominoPlural mafuko

 • 1

  mahali anapotagia kuku.

Ufafanuzi msingi wa fuko katika Kiswahili

: fuko1fuko2fuko3fuko4

fuko3

nominoPlural mafuko

 • 1

  kikundi cha watu wa ukoo mmoja.

  ayali, kizazi

Ufafanuzi msingi wa fuko katika Kiswahili

: fuko1fuko2fuko3fuko4

fuko4

nominoPlural mafuko

Matamshi

fuko

/fukɔ/