Ufafanuzi wa fukua katika Kiswahili

fukua

kitenzi elekezi

  • 1

    chimbua ardhi kwa madhumuni ya kutoa kilichofukiwa.

    chimbua, zikua, zua

Matamshi

fukua

/fukuwa/