Ufafanuzi wa fukufuku katika Kiswahili

fukufuku

nominoPlural fukufuku

  • 1

    tabia ya kutafutatafuta vijisababu visivyo vya maana ili kutaka kumuudhi mtu au kumchokoza.

    umbeya, udaku, kilimilimi, uzandiki, uheke, uchochezi

Matamshi

fukufuku

/fukufuku/