Ufafanuzi wa fukuta katika Kiswahili

fukuta

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  washa kama kidonda kinapotiwa dawa.

 • 2

  waka ndani bila ya kuonyesha miali.

 • 3

  puliza moto kwa kiriba au mfuo wakati mafundi au wahunzi wanapofua vyuma.

  vuvia

Matamshi

fukuta

/fukuta/