Ufafanuzi wa fulana katika Kiswahili

fulana

nominoPlural fulana

  • 1

    vazi linalovaliwa ndani ya shati au kanzu.

  • 2

    vazi la kitambaa lililofumwa k.v. kwa pamba au sufu ambalo huvaliwa kama shati.

Asili

Kng

Matamshi

fulana

/fulana/