Ufafanuzi msingi wa fumbi katika Kiswahili

: fumbi1fumbi2

fumbi1

nominoPlural mafumbi

 • 1

  bonde dogo linalozuia maji wakati wa mvua.

 • 2

  mchirizi wa maji unaochimbwa kwa makusudi.

  mfereji

Matamshi

fumbi

/fumbi/

Ufafanuzi msingi wa fumbi katika Kiswahili

: fumbi1fumbi2

fumbi2

nominoPlural mafumbi

 • 1

  kiongozi wa wari.

  kiranja, chando

Matamshi

fumbi

/fumbi/