Ufafanuzi wa fumbwe katika Kiswahili

fumbwe

nominoPlural fumbwe

  • 1

    ndege mdogo wa kiume mwenye umbo zuri, rangi nyeusi na miraba myeupe na mkia mrefu kuliko ndege wengine na hufuatana na ndege wa kike wengi.

Matamshi

fumbwe

/fumbwɛ/