Ufafanuzi msingi wa fumo katika Kiswahili

: fumo1fumo2

fumo1

nomino

  • 1

    cheo cha zamani cha ufalme.

    ‘Fumo Liongo’
    ‘Fumo Madi’

Matamshi

fumo

/fumÉ”/

Ufafanuzi msingi wa fumo katika Kiswahili

: fumo1fumo2

fumo2

nomino

  • 1

    mkuki wenye chembe cha ncha moja pana na mpini wa mti.

Matamshi

fumo

/fumÉ”/