Ufafanuzi wa fumuka katika Kiswahili

fumuka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    achana kwa nyuzi zilizoshonwa.

  • 2

    tokea kwa wingi.

Matamshi

fumuka

/fumuka/