Ufafanuzi wa fundi katika Kiswahili

fundi

nominoPlural mafundi

 • 1

  mtu mwenye ujuzi fulani na awezaye kufundisha wengine.

  ‘Asha ni fundi wa kujenga hoja’
  ‘Abduba ni fundi wa kucheza dansi’
  hodari, farisi, gunge, bingwa, galacha, mtaalamu

 • 2

  mtu afanyaye kazi maalumu za maarifa fulani k.v. mwashi, seremala au mhunzi.

  mtengenezaji

Matamshi

fundi

/fundi/