Ufafanuzi wa fundia katika Kiswahili

fundia

kitenzi elekezi

  • 1

    tia kitu kingi kinywani, hasa chakula au maji.

Matamshi

fundia

/fundija/