Ufafanuzi msingi wa fundo katika Kiswahili

: fundo1fundo2fundo3fundo4

fundo1

nominoPlural mafundo

 • 1

  ungio la vitu viwili vinapokutana au mfungo wa kitu ili kuonyesha kuna muungano.

 • 2

  mfungo wa uzi au kamba zinazoingiliana na kukaza hata kufanya uvimbe.

  ‘Fundo la uzi’

 • 3

  mahali viungo viwili vya mwili vinapoungana.

  ‘Fundo la mguu’

Matamshi

fundo

/fundɔ/

Ufafanuzi msingi wa fundo katika Kiswahili

: fundo1fundo2fundo3fundo4

fundo2

nominoPlural mafundo

 • 1

  mahali pa kuwekea pesa, agh. kibindoni.

  akiba

Matamshi

fundo

/fundɔ/

Ufafanuzi msingi wa fundo katika Kiswahili

: fundo1fundo2fundo3fundo4

fundo3

nominoPlural mafundo

Matamshi

fundo

/fundɔ/

Ufafanuzi msingi wa fundo katika Kiswahili

: fundo1fundo2fundo3fundo4

fundo4

nominoPlural mafundo

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  kipande cha mti au bao cha kuegemezea mlingoti.

  farikumu, kibango

Matamshi

fundo

/fundɔ/