Ufafanuzi wa funga hesabu katika Kiswahili

funga hesabu

msemo

  • 1

    jumlisha hesabu za duka, benki, n.k.; funga mdomo nyamaza, agh. huambiwa mtu anayeropoka maneno yasiyo na maana.