Ufafanuzi wa fungamana katika Kiswahili

fungamana

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    shirikiana katika mambo fulani, agh. ya kisiasa au kijeshi.

    ‘Nchi zisizofungamana na upande wowote’
    tangamana, shirikiana

Matamshi

fungamana

/fungamana/