Ufafanuzi wa fungamano katika Kiswahili

fungamano

nomino

  • 1

    umoja baina ya watu.

    ushirikiano, ambatano

Matamshi

fungamano

/fungamanÉ”/