Ufafanuzi wa fungana katika Kiswahili

fungana

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    lingana kwa idadi ya magoli au pointi.

Matamshi

fungana

/fungana/