Ufafanuzi wa funganya katika Kiswahili

funganya

kitenzi elekezi

  • 1

    fungafunga vitu au mizigo kwa ajili ya safari.

Matamshi

funganya

/fungaɲa/