Ufafanuzi wa fungia katika Kiswahili

fungia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    zuia kushiriki katika jambo k.v. michezo.

Matamshi

fungia

/fungija/