Ufafanuzi wa fura katika Kiswahili

fura

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuja juu.

    tuna, futuka, vimba

  • 2

    kuwa na hasira.

    kasirika, ghadhibika

Matamshi

fura

/fura/