Ufafanuzi wa furaha katika Kiswahili

furaha

nominoPlural furaha

 • 1

  ukunjufu wa moyo.

  uchangamfu, bashasha, changamko, harusi, ucheshi

 • 2

  hali ya kuridhika.

  nyemi

 • 3

  hali ya kustarehe.

  ‘Kuona furaha’

Asili

Kar

Matamshi

furaha

/furaha/