Ufafanuzi wa furahisha katika Kiswahili

furahisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya jambo la kumtia mtu furaha.

    anisi, tamia, pendeza, taanisi

Matamshi

furahisha

/furahiāˆ«a/