Ufafanuzi wa furisha katika Kiswahili

furisha

kitenzi elekezi

 • 1

  fanya kitu kivimbe, kijae.

 • 2

  sababisha kunenepa.

 • 3

  kasirisha

 • 4

  fanya mtu ajivune.

Matamshi

furisha

/furiāˆ«a/