Ufafanuzi wa fursa katika Kiswahili

fursa

nomino

  • 1

    nafasi ya kuweza kufanya jambo.

    ‘Kuwa na fursa’
    ‘Pata fursa’
    wasaa, mwanya, abra

Asili

Kar

Matamshi

fursa

/fursa/