Ufafanuzi wa furukuta katika Kiswahili

furukuta

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    gaagaa kama mgonjwa akiwa kitandani au anapokosa usingizi.

  • 2

    jaribu kujitoa mahali uliposhikwa kwa nguvu.

    tukutika, taataa, sombogoa

Matamshi

furukuta

/furukuta/