Ufafanuzi wa furushi katika Kiswahili

furushi

nominoPlural mafurushi

  • 1

    bahasha ya nguo; tumba la nguo.

    bunda, burungutu, bahasha

Asili

Kar

Matamshi

furushi

/furu∫i/