Ufafanuzi msingi wa fusa katika Kiswahili

: fusa1fusa2

fusa1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  lainisha kwa kupiga kidogokidogo.

  ponda

 • 2

  shambulia kwa maneno.

  tukana

 • 3

  maliza au filisi, hasa katika michezo ya aina ya kamari k.v. gololi.

  filisi, futa

Asili

Kar

Matamshi

fusa

/fusa/

Ufafanuzi msingi wa fusa katika Kiswahili

: fusa1fusa2

fusa2

kitenzi sielekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  toka upepo kama vile kwenye mpira uliotoboka.

 • 2

  jamba bila ya kutoa sauti.

  sura, shuta

Asili

Kar

Matamshi

fusa

/fusa/