Ufafanuzi msingi wa futa katika Kiswahili

: futa1futa2futa3futa4futa5futa6futa7futa8

futa1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  ondoa alama au doa.

  ‘Futa vumbi’
  safisha, pangusa

 • 2

  piga mstari juu ya maandishi ili kubadili yaliyoandikwa.

 • 3

  ‘Futa sheria’
  batilisha, fusahi, tangua

 • 4

  maliza pesa au mali ya mtu hasa katika mchezo wa kamari.

  fusa, filisi

Matamshi

futa

/futa/

Ufafanuzi msingi wa futa katika Kiswahili

: futa1futa2futa3futa4futa5futa6futa7futa8

futa2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  chomoa kilichopachikwa, hasa silaha k.v. kisu au upanga.

Matamshi

futa

/futa/

Ufafanuzi msingi wa futa katika Kiswahili

: futa1futa2futa3futa4futa5futa6futa7futa8

futa3

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  toa maji nje ya chombo.

  fua, kumba, teka

Matamshi

futa

/futa/

Ufafanuzi msingi wa futa katika Kiswahili

: futa1futa2futa3futa4futa5futa6futa7futa8

futa4

kitenzi sielekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  anguka kwa kitu k.v. ukuta, nyumba au mnazi.

Matamshi

futa

/futa/

Ufafanuzi msingi wa futa katika Kiswahili

: futa1futa2futa3futa4futa5futa6futa7futa8

futa5

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  chukia au susia kitu.

Matamshi

futa

/futa/

Ufafanuzi msingi wa futa katika Kiswahili

: futa1futa2futa3futa4futa5futa6futa7futa8

futa6

nominoPlural mafuta, Plural futa

 • 1

  aina ya nyoka mkubwa.

Matamshi

futa

/futa/

Ufafanuzi msingi wa futa katika Kiswahili

: futa1futa2futa3futa4futa5futa6futa7futa8

futa7

nominoPlural mafuta, Plural futa

Matamshi

futa

/futa/

Ufafanuzi msingi wa futa katika Kiswahili

: futa1futa2futa3futa4futa5futa6futa7futa8

futa8

nominoPlural mafuta, Plural futa

 • 1

  ugozi mwembamba wa mafuta matupu katika nyama ya mtu au mnyama.

  shahamu

 • 2

  sehemu ya nyama za chini ya tumbo la mtu mnene.

  kitambi

Matamshi

futa

/futa/