Ufafanuzi wa futika katika Kiswahili

futika

kitenzi elekezi

  • 1

    ficha kwa kutia kibindoni au mfukoni au kwenye kitu kingine; ficha kwenye pindo la nguo.

Matamshi

futika

/futika/