Ufafanuzi wa futu katika Kiswahili

futu

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  pita kwa jambo, kitu, n.k..

 • 2

  pitiwa, sahau

 • 3

  toa fatuwa au jibu juu ya masuala au tatizo.

  tatua

Matamshi

futu

/futu/