Ufafanuzi wa futuru katika Kiswahili

futuru

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kula chakula cha kufungua saumu.

Asili

Kar

Matamshi

futuru

/futuru/