Ufafanuzi wa fututa katika Kiswahili

fututa

nominoPlural fututa

  • 1

    maji ya moto, mafuta na kitambaa vinapotumika kumchulia na kumkandakanda mgonjwa aliyeumia mwili wake.

    ‘Piga fututa’

Matamshi

fututa

/fututa/