Ufafanuzi wa fuuza katika Kiswahili

fuuza

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    endelea kwa muda mrefu bila ya kukoma.

    fululiza

Matamshi

fuuza

/fu:za/