Ufafanuzi wa fuwele katika Kiswahili

fuwele

nominoPlural fuwele

  • 1

    madini maangavu yasiyo na rangi.

  • 2

    kitu kama glasi kinachotengenezwa katika umbo la bakuli, bilauri au sinia.

Matamshi

fuwele

/fuwɛlɛ/