Ufafanuzi wa fyatuo katika Kiswahili

fyatuo

nominoPlural mafyatuo

  • 1

    mwachilio wa ghafla wa kitu kilichokazwa k.v. bunduki, upinde au mtego.

Matamshi

fyatuo

/fjatuwɔ/