Ufafanuzi wa fyeko katika Kiswahili

fyeko

nominoPlural mafyeko

  • 1

    mahali palipofyekwa.

  • 2

    pigo la kukata nyasi au majani.

Matamshi

fyeko

/fjɛkɔ/