Ufafanuzi wa fyoto! katika Kiswahili

fyoto!

kiingizi

  • 1

    tamko la kuonyesha uhodari linaloweza kusababisha hasira kubwa; tamko la kumjaribu mtu kama anaweza kukabili tendo; jaribu uone!.

    anza!, thubutu!

Matamshi

fyoto!

/fjɔtɔ/