Ufafanuzi wa fyotoa katika Kiswahili

fyotoa

kitenzi sielekezi~ka, ~lea, ~leana, ~sha

  • 1

    toa tamko la kuonyesha uhodari; sema fyoto.

Matamshi

fyotoa

/fjɔtɔwa/