Ufafanuzi wa fyuzi katika Kiswahili

fyuzi

nominoPlural fyuzi

  • 1

    kipande cha uzi wa madini kinachoyeyuka au kukatika wakati umeme unapozidi au kuwa na shoti.

Asili

Kng

Matamshi

fyuzi

/fjuzi/