Ufafanuzi msingi wa gadi katika Kiswahili

: gadi1gadi2gadi3

gadi1

nominoPlural gadi, Plural magadi

 • 1

  kipande cha mti cha kutegemezea chombo pwani au mti unaotaka kuanguka.

  egemeo, nguzo

Ufafanuzi msingi wa gadi katika Kiswahili

: gadi1gadi2gadi3

gadi2

nominoPlural gadi, Plural magadi

 • 1

  zamu ya askari.

  ‘Shika gadi’
  ulinzi

Ufafanuzi msingi wa gadi katika Kiswahili

: gadi1gadi2gadi3

gadi3

nominoPlural gadi, Plural magadi

Asili

Kng

Matamshi

gadi

/gadi/