Ufafanuzi wa gagadua katika Kiswahili

gagadua

kitenzi elekezi

  • 1

    tafuna kitu kigumu k.v. kiazi kibichi au mkate wa tosti.

Matamshi

gagadua

/gagaduwa/