Ufafanuzi wa galacha katika Kiswahili

galacha

nominoPlural galacha

  • 1

    mtu hodari wa jambo fulani.

    stadi, bingwa, farisi, mahiri, fundi

Asili

Kar

Matamshi

galacha

/galat∫a/