Ufafanuzi msingi wa gambera katika Kiswahili

: gambera1gambera2

gambera1

nominoPlural gambera

 • 1

  mtu anayembebea mwindaji bunduki.

 • 2

  mtu anayewaongoza watu katika shughuli zao k.v. kuwaonyesha njia.

  kijumbe, mtalaleshi, kibirikizi

Asili

Kng

Matamshi

gambera

/gambɛra/

Ufafanuzi msingi wa gambera katika Kiswahili

: gambera1gambera2

gambera2

nominoPlural gambera

 • 1

  mwelekezaji wa wageni katika sehemu za kitalii k.v. mbuga za wanyama, n.k..

Asili

Kng

Matamshi

gambera

/gambɛra/