Ufafanuzi msingi wa gamu katika Kiswahili

: gamu1gamu2

gamu1

nomino

  • 1

    gwaride la askari kwa ajili ya mapokezi ya wageni rasmi au sherehe.

Matamshi

gamu

/gamu/

Ufafanuzi msingi wa gamu katika Kiswahili

: gamu1gamu2

gamu2

nomino

Asili

Kng

Matamshi

gamu

/gamu/