Ufafanuzi wa gandisha katika Kiswahili

gandisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kiowevu k.v. maji, maziwa au damu, kuwa kizito au kigumu.

Matamshi

gandisha

/gandiāˆ«a/