Ufafanuzi wa ganeti katika Kiswahili

ganeti

nomino

  • 1

    kito cha rangi nyekundu ambacho ni pambo.

Asili

Kng

Matamshi

ganeti

/ganɛti/