Ufafanuzi wa ganga katika Kiswahili

ganga

kitenzi elekezi

  • 1

    -pa mgonjwa matibabu.

    tibu, gunga

  • 2

    tengeneza kilichovunjika au kuharibika; ziba tundu.

Matamshi

ganga

/ganga/